SERIKALI YAAHIDI KUMUUNGA MKONO MWEKEZAJI WA KIWANDA CHA KUCHENJUA MADINI YA BATI (TIN).

Waziri kuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema serikali itamuunga mkono mwekezaji wa kiwanda cha kuchenjua madini ya TIN.